RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HUU NI UWONGO MTUPUUUUU - PUUUU- PUUUUU!!!!...MCHUNGAJI MTARAJIWA MASANJA KUWA MSIKITINI.

Mwandishi: Rulea Sanga

Jamani hiki kitendo sijakiafiki kabisa, na siamini kama ni kweli masanja kuwepo mahali hapa. Nitajitahidi kumtafuta na kumuuliza ili nipate undani wake. Pengine alienda kwaajili ya kazi yake ya uigizaji?..Endelea kufuatilia blogu hii ili kujua ukweli huu.

Mimi kama Graphic Designer, ukiangalia kwa makini sura yake na shingo, ni kama haviendani kabisa....Nadhani watu wamecheza na Photoshop. Nisiseme sana, nitakuletea ukweli.

Na ikigundilika sio kweli Masanja kuwepo msikitini, Mungu atadili na nyinyi. Sio tabia nzuri kum-edit mtu kwa lengo la kuharibu imani yake. Mungu hapendezwi kabisa.

Emmanuel Mgaya a.ka Masanja Mkandamizaji


Comments