RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUUMINI WA KANISA LA WOKOVU LA WORDALIVE SINZA MORI KWA MCHUNGAJI DEO LUBALA, ERICK SHIGONGO AMUOMBA RADHI JOSE CHAMELEONE



Mkurugenzi wa kampuni ya Global Publishers, Erick Shigongo ameamua kumuomba radhi msanii wa Uganda Jose Chameleone kufuatia kitendo cha kuishikilia passport yake.


Wiki iliyopita, Chameleone aliandamana hadi kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kudai arudishiwe passport yake.
Katika barua hiyo ya kuomba msamaha, Shigongo ameandika:



“ I Erick Shigongo of Global Publishers, Tanzanua, would like to take this chance apologize to musician Jose Chameleone, my Ugandan brothers and sisters, Tanzania my country for mishandling my business issues. Taking away Chameleone’s Ugandan passport. I’m really sorry and beg for your pardon. I will never ashame you again, thank you chameleone for arresting George Mugabo. I am coming to Uganda to handle him in the courts of law.”

Erick Shigongo.

Kufuatia sakata hilo, mkuu wa jeshi la polisi nchini Uganda IGP Lt. Gen Kale Kayihura aliingilia kati na kuagiza kurushwa haraka kwa passport ya msanii huyo.
UNA MTAZAMO GANI JUU YA HABARI HII? TUPE MAONI YAKO

Comments