RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JIHADHARI NA MATAPELI WA FACEBOOK KUHUSIANA NA HUDUMA YA TB JOSHUA : BEWARE OF FRAUDSTERS ON FACEBOOK!!!


Mtafsiri: Rulea Sanga

TAADHARI: UJUMBE MUHIMU KWA WOTE WAPENZI WA EMMANUEL TV NA WAPENZI WA HUDUMA YA THE SCOAN

Kuna watu wametengeneza account zao katika facebook wakidai wao wanamwakilisha T.B. Joshua, The SCOAN au Emmanuel TV.

Kama tulivyowambia hapo nyuma kuwa TB Joshua, The SCOAN na Emmanuel TV wana "page" au ukurasa wao mmoja katika Facebook ambao ni TB Joshua Ministries (http://www.facebook.com/pages/TB-Joshua-Ministries/103470916440360).

Hakuna "account" ya mtu binafsi katika Facebook kwaajili ya TB Joshua, "Wise Men" au mtu yeyote ambaye amejiunga na huduma yetu. Kwa haraka inaonyesha kuna watu kama 100 wametegeneza kurasa (pages) zao wakidai ni wanahudumu na TB Joshua na watu walio wengi wanatumia jina la SCOAN na Emmanuel TV. Watu wamekuwa wakijipatia pesa kwa kupitia accounts hizo kinyume cha utaratibu kutoka kwa Nabii TB Joshua.

Tumejaribu kupata account hii ya facebook ambayo ni ya matapeli,  ‘Tb Joshua Ministry Can Change The World’ (http://www.facebook.com/pages/Tb-Joshua-Ministry-Can-Change-The-World/272787806141938). Tumeshitushwa kuona "account" hii ina watu kama 40,000. Umefika muda wa kusimamisha hii kazi ya matapeli!

Nabii TB Joshua amesema, "Tunahitaji msaada wako kusimamisha hawa matapeli wa mitandaoni."
UTAFANYAJE?
1. Tafadhali sambaza ujumbe au taarifa hizi kwa marafiki zako, ndugu zako na majirani zako hasa kwa wale wenye mapenzi na huduma ya TB Joshua.

2. Usitoe maoni yako au kitu chochote katika "account" hii, na kama ulikuwa rafiki katika "account" hiyo, tafadhali jiondoe.

3. Tafadhali kama umegundua hilo toa taarifa kwa watu wanahusika na FACEBOOK haraka, na watu wa Facebook watalishughurikia haraka kwa kuchukua hatua za kisheria.

4. Tafadhali waonye rafiki aun ndugu zako waliokuwa katika accounts hizo wajitoe, na toa taarifa kwa watu wote.

Jiepushe na watu wanaosema wao ni wawakilishi wa Sinagogi ya SCOAN- TB Joshua na kutaka pesa kutoka kwako kwa kukuahidi kukupa Maji ya Upako (Annointing Water) au huduma zingine.
Maji ya Upako hayauzwi na hajatolewa bado kutoka Makao Makuu ya The SCOAN Lagos.

Soma Mathayo 26:40.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
ATTENTION!!! URGENT MESSAGE TO ALL TRUE FRIENDS AND PARTNERS OF THE SCOAN AND EMMANUEL TV:

We are saddened to discover that people are still being deceived by individuals on Facebook claiming to be representing Prophet T.B. Joshua, The SCOAN or Emmanuel TV.
As we have stated several times before, TB Joshua, The SCOAN and Emmanuel TV has only ONE official Facebook page, which is: TB Joshua Ministries (http://www.facebook.com/pages/TB-Joshua-Ministries/103470916440360). ANY OTHER ACCOUNT CLAIMING TO REPRESENT TB JOSHUA, THE SCOAN OR EMMANUEL TV IS FRAUDULENT!!!

There is no official personal account on Facebook for TB Joshua, the Wise Men or any individuals connected with the ministry. A quick search on Facebook shows well over 100 people have created pages claiming to be T.B. Joshua and countless more are deceptively using the names of SCOAN and Emmanuel TV. Experience has shown us that the majority of these people are out to deceive the general public in order to extort money from them.





Although the fraudulent Facebook pages are too numerous to mention, our attention has been especially drawn to the following account: ‘Tb Joshua Ministry Can Change The World’ (http://www.facebook.com/pages/Tb-Joshua-Ministry-Can-Change-The-World/272787806141938). We were shocked to see the account has well over 40,000 followers and the writer of the site is even receiving prayer requests from people in the name of T.B. Joshua. What appalling deceit! It is time to put an end to this.

Prophet T.B. Joshua says, “A pastor leads best when his people get behind him.” We need your support to stop these fraudsters deceiving the general public.

WHAT CAN YOU DO?
1. Please spread this message to all your friends/ family/ colleagues etc., especially those who have interest in TB Joshua’s Ministry.

2. Please DO NOT like or comment on the fraudulent accounts claiming to be TB Joshua as this will only encourage them in their malicious activities. If you have already become a fan/ friend, please remove yourself from them.

3. Please report the fraudulent sites you discover to Facebook immediately. If enough people report them, the Facebook authorities will be forced to take action.

4. Please warn people who have become friends/ fans of these fraudulent pages and pass this message across to them as soon as possible.

Once again, beware of any imposters claiming to be Prophet T.B. Joshua or claiming to represent The Synagogue, Church Of All Nations, demanding for money in the name of either of the above in the promise of providing Anointing Water or other materials from the ministry. The Anointing Water is not for sale and is not being posted out from The SCOAN HQ in Lagos. Healing, salvation and all of God’s blessings are free gifts of God. Jesus Christ paid for our perfect and complete healing when He died on the cross. Watch and pray, lest you fall into temptation (Matt 26:40).

Thank you for your support and understanding.

Comments