RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PARTNERS WA EMMANUEL TV KUGAWIWA DVD YA "REVIVAL IN THE USA WITH WISE MAN HAARY" KUTOKA KWA WAINJILISTI KUTOKA SCOAN KWA NABII T.B. JOSHUA

Mwandishi: Rulea Sanga

Wainjilisti kutoka SCOAN Lagos wamewagawia DVD za "REVIVAL IN THE USA WITH WISE MAN HAARY" kwa Partners wote wa Emmanuel TV Tanzania katika ukumbi wa VIP Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Watu walikusanyika wengi sana kujipatia DVD hiyo ambayo inatoa mahubiri na shuhuda kutoka kwa Wise Man Harry alipokuwa USA.

Partners wa Emmanuel TV walijaza namba zao za uanachama na kuzipeleka kwa hao wainjilisi kutoka SCOAN. Hakukuwa na ugawaji wa Anointing Water,  Stickers za TB Joshua wala maombezi  kama watu wengi walivyokuwa wanadhani.Madhumuni ya Wainjilisti yalikuwa ni kufanya usajili kwa wale wanaohitaji maombezi Lagos na kuongea na Partners wa Emmanuel TV.

Ruma Africa ilibahatika kupata baadhi ya matukio kama unavyoona hapo chini.


Baadhi ya Partners wa Emmanuel TV wakichukua DVD kutoka kwa wainjilisti kutoka SCOAN na baadhi ya wahudumu kutoka Tanzania.


Picha zingine zinakuja



Comments