RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMA AFRICA: HONGERA UPENDO NKONE KWA ZAWADI YAKO YA "NIONGOZE YESU"

Mwandishi: Rulea Sanga

"Usipofanya kazi ya Mungu unategemea nani atafanya?"

Ruma Africa inakupongeza kwa kile umekifanya kwa Watazania na ulimwengu mzima. Umeleta mchango mkubwa sana katika kumtangaza Kristo kwa kupitia kipawa ambacho Mungu amekupa. 
Tunakushukuru sana kwa nyimbo zako mpya kama:
Watanzania tunaomba kum-support dada Upendo Nkone kwa kununua DVD au Audio CD ili aweze kusonga mbele kufanya kazi ya Mungu, na pia kuna mambo utajifunza kwa kupitia uimbaji. Kazi hii tayari iko sokoni na ina wiki moja sasa.

Upendo Nkone alishatoa album zingine kama Mungu Baba-2009, Hapa Nilipo-2010, Zipo Faida Kukaa na Mungu-2011 na sasa Uniongoze Yesu-2012
. 
Muonekano wa juu wa kava ya Albamu hii.
 
Hizi ndizo nyimbo za Albamu yake.

Comments