RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMA AFRICA KUFANYA UKARABATI OFISI MPYA SINZA AFRIKASANA-DAR TANZANIA

Ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufanya ukarabati ofisi mpya Afrika Sana Sinza Dar es Salaam.
Mungu kanitoa mbali na ninajua ananipeleka mahali fulani ambapo wewe na mimi hatujui. Ngoja tumwachie Mungu anayejua njia za kila mwanadamu. Ninaomba maombi yako, ili nifike pale napotaka kufika. 
Ila kama utakuwa ni adui yangu, utapata kipigo kutoka kwa Mungu mpaka utashangaa.
Nisikutishe ila huo ni ukweli.

Siku ya kufunguliwa kwa ofisi yangu nitawajuza wadau wangu na wale wenye mapenzi mema na Ruma Africa.
Mungu azidi kubariki kazi za wateja wangu ili tushirikiane katika kulijenga jina la YESU.

Tutakuwa tunawaletea maendeleo ya ofisi hii ambayo itajikita katika kufanya kazi ya Mungu, Graphics Design na utengenezaji wa websites na blogs

OFISI KABLA YA KUKARABATIWA

 Sehemu ya nje

 Sehemu ya ndani, muonekano wa zamani

OFISI BAADA YA KUKARABATIWA

 Sehemu ya nje baada ya kukarabatiwa

 Chumba cha Mkurugenzi
Sehemu ya ndani


Comments