RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TANZANIA LOVE FESTIVAL KUFANA KESHO JANGWANI-DAR ES SALAA

Wa
Wakati wa kujua kuwa kuna mashabiki wa Yesu umefika. Siku ya kesho tutajua ni nani anapenda yaliyo ya Mungu. Jangwani itakuwa haitoshi, tunaamini kuwa watu watakuwa kibao wakimtukuza Mungu.

Watanzania tutambue kuwa watu wametoka mbali kuja nchini kwetu kutangaza kazi za Mungu kwa njia mbalimbali. Ni aibu kuona wewe kutofika Jangwani. Shughuli nzima itaanza saa saba mchana mpaka saa 2 usiku.

 Massanja Mkandamizaji akiwa na Lubben 
 Watu Wakiwa Wanasubiria Huduma ya Macho Baptist Church Magomeni
 Watu wakipata ushauri Wa Huduma Ya Macho
 Palau akifanya Huduma Kabla ya Kugawa Miwani....Hapa wakipata Tiba ya Macho Ya Rohoni
 Ushauri Kwanza
 Hii Ilikuwa siku ya Nane Nane katika Dinner Ya Watu Maalum Jijini Dar-es-Salaam
 Hapa Andrew Palau alikuwa aki share habari za Rauu
 Hapa Ilikuwa Clinic ya Michezo Kwa Watoto
 Andrew Palau Kushoto, Katikati ni Baba Askofu Dr. Alex Malasusa na Kulia anaonekana ni Baba Askofu Dr. Tibananason
 Dr. Malasusa akizungumza Jambo katika press Conference..
 Press Conference 
 Wakijibu Maswali ndani ya Press Conference
 Atatoa Ushuhuda Mwanawane.
 Shusho akiimba Kwenye Dinner Ya Wanawake.
 Dogo akipiga Soka

 Wakisubiria Kuingia Kwenye Miwani.
 Ukimaliza Tiba Ya Miwani Unapata na Maombi
 Baptist Church
 Full Miwani
Lubben akihudumu.

Comments