Siku ya Jana Katika Kanisa la City Christian Centre Upanga (CCC) kulikuwa na Tamasha la Kusifu na Kuabudu lililokuwa limeandaliwa na uongozi wa Casfeta-TAG Mkoani Dar es salaam,Katika Tamasha hilo walipata kushiliki Neno lililoongozwa Mchungaji Deo Lubala kutoka Word Alive Ministry.
Wanafunzi,wanavyuo
vya elimu ya juu na wadau mbalimabali katika kila kona ya Jiji la Dar
es salaam walionekana kuhudhulia kwa wingi kwa kile kilichoonekana kuwa
ni Kumsifu na Kumtukuza Mungu.
Ibada hiyo
ilipambwa na Nextlevel Team,John Lisu,Rivers of Life chini ya Pastor
Paul Safari,Word Alive Praise and Worship Team na Casfeta Mass Choir.
Mchungaji Deo Lubala-
Word Alive Ministry |
Idadi kubwa ya watu walijitokeza katika Tamasha hilo siku ya Jana kama wanavyoonekana. |
Pastor Paul Safari |
John Lisu |
Backup team ya John Lisu |
fullshangwe |
Baadhi ya Viongozi wa Dini na Casfeta-TAG wakifuatilia Tamasha hilo |
Casfeta Mass Choir |
John Kagaruki akifanya
|
Comments