RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

GLORIOUS CELEBRATION WAFANYA RECORDING LIVE NDANI YA KANISA LA CCC UPANGA

Glorious Celebration wamefanya recording ya album yao ya pili. Hii ni kuonyesha kuwa Mungu bado anawapigania hawa vijana waliojitoa katika kazi ya Mungu. Album yao ni ya LIVE. Tuone kitu hiki kipya.

Mkesha wa CCC Group ya Glorious Celebration walikuwa wakifanya Live Recording Pia.
 Glorious Celebration Wakiwa Jukwaani.
 Woza Woza Wozaaaaa
 The President Emma Mabisa akiwa na Microphone siku ya Juzi
 Mercy "Mavoko" Langula akiwa akienda sawa Usiku wa Ijumaa
 Watu Peopleeeeee
Combination ya Beats za Congo na South Africa.....

Comments