RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JUMAPILI NI SIKU YA KUTOKOSA KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA "JANA IMEPITA" YA MADAM RUTI NA CHRISS - KKKT KARIAKOO

Zikiwa zimebaki siku chache tamasha kuwaka moto, unaombwa kutokosa kumuunga mkono mtumishi wa Mungu Madam Ruti na Chriss katika uzinduzi huu wa albamu yao ambayo imekuwaGUMZO jijini Dar es Salaam na sehemu mbalimbali Tanzania kwa nyimbo zenye kugusa maisha ya watu na kuwatia moyo.

Mungu amekuwa akimtumia Madam Ruti katika huduma ya uimbaji na pia ni mhubiri mzuri sana. Mbali na hayo yote  pia ni mkurugenzi wa R.M star ambayo inajihusisha na uuzaji wa vifaa vya Electronics iliyoko Kariakoo.

USIKOSE USIKOSE

Mtumishi wa Mungu, Madam Ruti wa R.M. Star akifanya maombi.




Mtumishi wa Mungu Chriss

Comments