Kilio cha mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, Rose Mhando kimenigusa sana katika maisha yangu hasa siku ya leo. Wimbo wake umenibariki sana na ikanifanya nipoteze muda wangu mwingi ili nikuandikie na wewe mdau wangu wa RumAfrica ili utafakari maneno aliyoyaimba huyu dada yangu ambaye mimi kama Rulea Sanga hunibariki sana na uimbaji wake. Rose ki ukweli alikaa chini na kufikiri kwa makini sana na kumtafakari Mungu jinsi alivyo. Kuna mameno mazito na ya kufariji ambayo ameyaimba katika wimbo wake huu mtamu. kama unaweza TUNE wimbo huu na fuatisha haya niliyokuandikia.
Naomba nimuombee Rose Mhando: Mungu wangu nakuomba uzidi kumpa ubunifu mwimbaji huyu, amekuwa baraka kwa wengi kutokana na uimbaji wake. Mungu afute machozi yake, na ampe uso wenye furaha katika maisha yake na siku ya mwisho akuone wewe Mungu wangu.
Wimbo wenyewe unasema hivi:
BETI YA KWANZA
Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo Mkuu
Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo ooooh
Nilidhani kama ndoto, kumbe ndivyo ulivyo
Nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, kumbe ndivyo ulivyo ooh
Umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, kumbe ndivyo ulivyo ooh
Simwepesi wa hasira, Baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo ooh
Wewe, unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo ooh
Mawazo Yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, Baba, ndivyo ulivyo ooh
Nani kama Wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh
Wema wako haueleweke katikati ya wanadama Jehova, wewe, kumbe ndivyo ulivyo ooh
----------------------------------------------------------
KIITIKIO
ROSE Ndivyo ulivyo, Ndivyo ulivyo, Ndivyo ulivyo ooh Hakuna kupinga
ROSE: Baba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo x2
ROSE: Ndivyo ulivyo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Baba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Babaaa, hakuna kupinga
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Wewe Mungu wa amani
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Mungu wa mapenzi mema
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Baba oooohooo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE Babaa
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, Hakuna wa kupinga
ROSE: Wewe si mwepesi wa hasira
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Ndivyo ulivyo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Huangalii mabayaWAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Babaaa
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga
ROSE: Wewe unatuwazia mema
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Babaaa oh
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: HaleluyaWAITIKIAJI: Ndivyo ulivyoROSE: Baba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo hakuna kupinga
ROSE: Nasema kumbe
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyoROSE: Kumbe ndivyo ulivyo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: BabaaaWAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga
--------------------------------------------
BETI YA PILI
Tulia kwa Mungu, hushuka na kutufariji
Baba, kumbe ndivyo ulivyo ooh
Usiku na mchana hulali usinzi
Mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh
Pale, tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu Yehova, ndivyo ulivyo ooh
Huingilia kati yale yote tunayoshindwa, wewe, ndivyo ulivyo ooh
Msaada wakati tunapochoka, Yeeeeehova, ndivyo ulivyo ooh
-------------------------------------------------------
KIITIKIO
ROSE: Ndivyo ulivyo ooh x3, Hakuna kupinga
ROSE: Wewe Umepanda milimani
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Ndivyo ulivyoo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: aah..oooh
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Baba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, Hakuna kupinga
ROSE: Mungu wewe, mwenye mamlaka
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Ndivyo ulivyo, Baba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: weweeee hee
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Baba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo hakuna kupinga
ROSE: Uliyeketi mahali pa juu
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Mungu Uliye hai
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Yeeehova ataishi
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Ndivyo ulivyo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, Hakuna kupinga
ROSE: Huhesabu mabaya yetu
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Wala hutazami dhambi zetu
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Babaaa oh
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo hakuna kupinga
ROSE: Nasema kumbeeee
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Kumbeee
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Kumbeee, ndivyo ulivyo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Baba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyohakuna kupinga
ROSE: weweeeee
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Ndivyo ulivyoo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Hakuna kupinga
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Oooh Baba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo hakuna kupinga
BETI YA TATU
Mungu, uliwakusanya walioachwa, ukawakumbatia, Baba,ndivyo ulivyo ooh
Waliokosa, tumaini, huweka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh
Waliokataa tamaa wewe unawatia nguvu, Baba, ndivyo ulivyo ooh
Vile nionavyo mimi, si kama wewe utazamavyo Baba, kumbe ndivyo ulivyo ooh
Huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, Weweeeee eh, kumbe ndivyo ulivyo, hakuna kupinga
----------------------------------------------------------------
KIITIKIO
ROSE: Eeeeh
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Ndivyo ulivyo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Babaaaa eeh
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Baba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna wa kupinga
ROSE: Baba nakuinua Wewe
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Nakuambudu wewe
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Hivi ndivyo ulivyo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Babaaa ahaa
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Nakushukuru Ulivyoniumba
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Umenikumbuka
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Kumbe ndivyo ulivyo
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga
ROSE Umenitete mbele ya wenye nguvu, Yehova
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Ndivyo ulivyo,Baba yangu
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga
ROSE: Wacha nikuinue wewe
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Wacha nikuabudu wewe
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Ndivyo ulivyo, Babaa
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Wacha nikuinue wewe
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Nisimulie matendo yako
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Babaaa
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Acha nikuimbie wewe
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Kwa sauti yangu
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Yehooovaaaa
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: ooooooohhhh
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo, hakuna kupinga
ROSE: yeeeeeeheeeee
WAITIKIAJI: Ndivyo ulivyo
ROSE: Wewe ndivyo ulivyo
MUNGU AKUBARIKI
Mwandishi: Rulea Sanga

Comments