RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

THREE MOTHER ENTERTAINMENT KUWASHA MOTO NDANI YA THE ATRIUMS HOTEL NA DAY TOGETHER PARTY-JICHO LA TATU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM SINZA AFRIKASANA SIKU YA JUMAPILII-USIKOSE WEWE MAMA NA WEWE DADA

Kama wewe unapenda maendeleo na kujifunza jambo jipya katika maisha yako. Usikose katika kusanyiko hili la Day Together Party Jicho la Tatu la Three Mothers siku ya tarehe 11/11/2012 katika hoteli tulivu ya The Atriums sinza Afrikasana kuanzia saa 8mchana na kuendelea

Kutakuwa na waimbaji mbalimbali kama vile Bahati Bukuku, Neema Jekonia, Deogras Pius, Madam Ruti, Jane Misso, Martha Mwaipaja na wengine wengi.

Walimu watakaofundisha jinsi ya kuweka ujasiliamali, muonekano mzuri wa mwanamke, tabia za mwanamke kumshawishi mume wake katika kuijenga familia. na mengine mengi.

TANGAZO limetengenezwa na
RUMAFRICA
Sinza Afrikasana-Sokoni
+255 715 851523

Comments