Select Menu

News

USIKOSE IBADA YA JUMAPILI YA KULIOMBEA TAIFA NA WAKAZI WA BUKOBA

USIKOSE IBADA YA JUMAPILI YA KULIOMBEA TAIFA NA WAKAZI WA BUKOBA

JUMAPILI YA KULIOMBEA TAIFA NA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA

JUMAPILI YA KULIOMBEA TAIFA NA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA

BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE: THE STRENGTH OF GOD

PROPHET R.S ROBERT

PROPHET R.S ROBERT

MTUME PETER NGAYA KUWASHA MOTO TABATA KIMANGA

MTUME PETER NGAYA KUWASHA MOTO TABATA KIMANGA

MH. DKT. MREMA AMPA JINA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE

MH. DKT. MREMA AMPA JINA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE

LINA FELIX AMPA JINA LA PILI BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE

LINA FELIX AMPA JINA LA PILI BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE

DR. UPENDO JBRIDE

DR. UPENDO JBRIDE

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

VIDEO BOMBA ZA GOSPO: Bonyeza alama nyekundu kuona zingine

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

RUMAFRICA ELIMU

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» »Unlabelled » MZEE WA UPAKO MCHUNGAJI ANTONY LUSEKELO AWEKA WAZI JUU YA UDINI


Sanga Rulea 2:25 AM 0


KIONGOZI wa Kanisa la Maombezi la GRC na Ubungo, Dar es Salaam, Mchungaji Antony Lusekelo   maarufu  kama " MZEE   WA  UPAKO " amewataka viongozi wa dini na Watanzania kwa jumla, kutambua kuwa Tanzania ni bora kuliko dini zao.
Mchungaji Lusekelo pia aliwataka viongozi wa dini kuendeleza vita dhidi ya rushwa huku akisema watoa rushwa na wapokeaji, wamejificha makanisani na kwenye misikiti.
Alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari  ambapo alisema viongozi wa dini lazima lazima washiriki katika mapambano ya rushwa bila woga.
Katika mazungumzo hayo, mchungaji huyo pia alisema  Serikali inapaswa kuwajibika kwa kutumia nguvu zake za kisheria katika kulinda amani, huku akinyoshea kidole tukio la hivi karibuni lililoashira kuvunja kwa amani, huku Serikali ikiwa haijachukua hatua.
Alisema hilo ni tatizo kubwa na kwamba  ni watu wengi wakiwamo viongozi wa dini kushindwa kusema ukweli kwa kuogopa maisha yao kuwa mafupi.“Ni muhimu kila mwananchi kutambua kuwa  Tanzania ni bora kuliko Ukristo na Uislamu. Watu wengi wanaogopa kusema ukweli. Hata viongozi wa dini kwani watoa rushwa wamejificha misikitini na makanisani, tuendeleze mapambano dhidi ya rushwa ipo siku tutashinda,” alisema.Kuhusu vurugu nchini, alisema chanzo ni viongozi wa dini  kuhubiri siasa za chuki misikitini  na makanisani.“Vurugu siyo asili ya binadamu inatengenezwa, Serikali ina wajibu wa kutumia nguvu yake kisheria kuilinda amani na amani haishuki kutoka mbinguni au kwa maombi, inatengenezwa pia. Tatizo cheche za kidini zilipoanza hazikudhibitiwa. Serikali ilikuwepo, aidha kwa makusudi au bahati mbaya imelea cheche hizo,” alisema Lusekelo.
Soma  zaidi  : http://www.mwananchi.co.tz/habari/kitaifa/-/1597296/1606826/-/2a4eu0z/-/index.html

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS