RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

SIKU MOJA YA KONGAMANO LA WA BABA


Wapendwa poleni na hongereni kwa siku nzuri ambayo imepita tena sasa, hii hapa tena semina ya wababa "Mens" ni muhimu sana tukikumbushana sisi kama vijana wababa wa kesho, na wababa wote changamoto mbalimbali za maisha ambazo zinatukabili sisi kama wa baba. pitia tena hili tangazo kwa makini ni BURE hakuna kiingilio na Mungu akitusaidia vitafunwa na vinywaji bure kwa wababa ili kuatia nguv wakati tukijadiliana mambo mbalimbali

Comments