RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UNAJUA ZIMEBAKI SIKU NGAPI KUFIKIA TAMASHA LA VICTOR MWANA WA ARON? ISSUE NI TAREHE 2 . 12 . 2012

Victor Mwana wa Aroni mwimbaji  wa nyimbo za injili Tanzania na Afrika Mashariki, anakuomba usikose katika uzinduzi wa albamu yake ya KANUNI katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B Assemblies of God kuanzia saa 9:00 mchana na hakutakuwa na kiingilio siku hiyo ya tarehe 2/12/2012.

Unaweza kujipatia  tshirts ambazo unaweza kuvaa wakati wa uzinduzi wake na siku zingine za kawaida, kwani kuvaa hizi tshirts unafanyika BANGO la Yesu. Zinapatika kwa Victor Aron Praise Power Radio Mikocheni B Aseemblies of God na ofisi ya RUMAFRICA sinza Afrikasana Sokoni hapa jijini Dar es Salaam.
 Victor Mwana wa Aron

NAWAKARIBISHA SANA WAPENDWA KATIKA HII SHUGHULI
Victor Aron akiwa katika Tshirt yenye ujumbe wa albamu yake katika ofisi ya Rumafrica Afrikasana Sinza Dar es salaam..


Chriss wa Jana Imepita akiwa katika Tshirt ya Kanuni..Bado wewe kuwa nayo

Tshirt na CD Cover vimetengezwa na Rumafrica.

Unaweza kuwasiliana na Victor Aron kwa namba +255 712 614228 au Rumafrica +255 715 851523

Comments