RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AMTEMBELEA PADRE AMBROSE

  Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia Padre Ambrose Mkenda (aliyepo kitandani), wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae Zanzibar, leo Desemba 30, 2012 aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana na majeraha aliyoyapata kwa kujeruhiwa na risasi na watu wasiojulikana wakati akiwa getini akisubiri kuingia nyumbani kwake mjini Zanzibar siku ya Sikukuu ya Krismasi, Desemba 25, 2012

Comments