RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MOOLIGHT GIANT COMPANY LIMITED WANAKUPA PUNGUZO LA JUICE KWAAJILI YA KRISMASI..WAHI SASA!!

Kampuni ya MLG imeona sasa ifurahie na wewe kipindi hiki cha Krismas ambapo waumini wote duniani wanasherekea kuzaliwa kwa Mwokozi Yesu Kristo.
Kwa kuona hivyo imeona ipunguze bei za paketi za juice ili uweze kununua na kutoharibu bajeti yako.


Kuna juice nyingi ila mojwapo ni kama Pineaple, Roselle, Orange + Passion.
Juice hii imeonekana kuwaburudisha walio wengi sana maofisini na majumbani.
Na faida kubwa ni kwamba paketi moja tu ya gram 500 inaweza kutumika katika maji yenye ujazo wa lita tano na huhitaji kuweka sukari. Radha yake ni tamu sana!!!

mwana familia kumbuka kujipatia paketi yako sasa ili ufurahi na familia yako vizuri.
Unaweza kupata katika ofisi za
MOOLIGHT GIANT COMPANY LIMITED
zilizoko Africasana Sinza, Dar es Salaam-Tanzania. Tumia mawasiliano yetu:


P.O.Box 54675 | Tel: +255 222 701217

 Mob: +255 762 606436 | Fax: 222 701217 | Email: moongiantltd@gmail.com  AU
Fika katika ofisi za RUMAFRICA Sinza Afrikasana na tupigie +255 715851523


Comments