RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA ILIKUWA BUSY SANA KATIKA KUTENGENEZA CD COVER ZA WATUMISHI WA MUNGU.


Rumafrica inawaomba radhi wadau wa RumAfrica kwa kutowaletea habari za Mungu kwa wakati. Tulikuwa busy sana na kazi za watumishi wa Mungu.

Rumafrica imetengeza CD Cover za

MANYARA GOSPEL SINGERS
Albamu: BYE BYE MOYO WANGU
Prosper Kitundu

Prosper Kitund





EMMANUEL DOBOGO
Albamu: LINDA MOYO WAKO

Emmanuel Dobogo





VICTOR L. RUMISHA
albamu: NAKUTUMAINI
Victor Rumishi


Rumafrica itawajulishi ni lini hizi kazi zitakuwa sokoni.

MUNGU AWABARIKI
Unaweza kuwasiliana na Rumafrica kama ungependa kutengezewa CD Cover na mambo mengine ya Graphiphics na Blogu.

Tembelea www.rumafricajobs.blogspot.com kuona kazi tulizofanya

Comments