RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA YAFANYA KAZI NA MASTER PROPHET CJ. MACHIBYA ANAYEISHI LONDON UK

Master Prophet CJ Machibya ni mume wa aliyekuwa mtangazaji wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Zawadi Machibya, na sasa ni mtangazaji wa BBC London UK.

master Prophet Machibya mzawa wa Tanzania lakini kwa sasa anaishi London UK. Rumafrica ilibahatika kukutana na huyu Nabii na kukaa naye chini na kuamua kufanya kazi ya Mungu. Rumafrica imechangia katika huduma yake kwa kutengeneza baadhi ya artworks, kama vile Business cards, Letterhead na flyers. Pia imetengeneza blogu yake inayoenda kwa jina la www.cjmasterprophet.blogspot.com.

na sasa imeanza kutengeza blogu ya mke wake ambaye ni mtangazaji wa BBC London UK..

Tunategemea na wewe kufanya kazi na RUMAFRICA.
Karibu sana na Mungu wangu akubariki.

 Business card
 Kalenda
 Letterhead


Flyer

Comments