RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DUBAI KUACHIA NAFASI ZA KAZI


Kama wewe ni Mtanzania na unataka kufanya kazi nchini DUBAI. Nafasi za kazi ni Udereva (Driving) na Uuzaji (Sales). Vigezo ni wewe kuweza kuongea Kiingereza (hata kile cha kuombea maji) na ambatanisha CV zako na uzipeleke kwa dada YOLANDA Sinza Afrikasana maeneo ya SOKONI katika ofisi ya Moon Light Giant Company au mpige simu +255 762 606436 au unaweza kufika ofisi za RUMAFRICA Sinza Afrikasana. Jitahidi kupeleka mapema kwani DEADLINE yake imekaribia sana!!!!



Comments