RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAFUTA YA BAO BAB YANAYOTOKANA NA MBEGU ZA UBUYU NI KINGA KATIKA MWILI..UNAJUA HILO??

Ubuyu umekuwa ukitumika sana na watu walio wengi nchini Tanzania na nchi nyingine ulimwenguni. Tumekuwa tukitumia ubuyu kama kiburudisho katika midomo yetu bila ya kujua faida zake mwilini.

Tuwainue Assocition ikakaa chini na kufanya utafiti juu ya faida za ubuyu katika miili yetu. Kuna mengi utajua juu ya matumizi na faida za kutumia ubuyu.

Tangazo hili limetengenezwa na RumAfrica hapa Tanzania. Kama ungependa kufanya kazi na Rumafrica tuwasiliane kwa simu +255 715 851523 au Barua Pepe rumatz2013@gmail.com.

FAIDA ZA MAFUTA YA BAO - BAB KATIKA MWILI WAKO
1.Yanatibu tumbo
2. Yanarekebisha sukari mwilini
3. Yanapunguza uzito uliozidi
4. Yanasafisha figo na ini
5. Yana vitamini A, B, C na D
6.Yanaongeza CD4 haraka

MATUMIZI YAKE.
1. Kunywa kijiko kimoja asubuhi na jioni kabla ya kula chochote
2. Tumia kwa wiki moja na baada ya hapo wiki inayofuata isitumie. Baada ya kupumzika kwa wiki moja anza tena kutumia kwa wiki moja halafu pumzika tena wiki moja. 

2. Utafanya hivyo mpaka utakapofikisha siku 45 za kutumia.
Unaweza kuwasiliana na MAMA MTENGA kwa simu zilizopo katika Poster hapo juu

Comments