RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TUJIKUMBUSHE MKESHA YALIVYOKUWA CHUO CHA MZUMBE

Angalia picha mbalimbali za mkesha wa kusifu na kuabudu pamoja na maombi maalumu kwa ajili ya kujiandaa na mitihani ya kumaliza muhula uliofanyika jumamosi iliyopita katika chuo kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro. Ambapo mtume Onesmo Ndegi wa Living Water Tanzania alisimama katika mahubiri huku pia wanafunzi waliohudhuria mkesha huo wakiungana na waimbaji mbalimbali akiwemo mwanamama Upendo Nkone, Filipo Rupia pamoja na kwaya ya wanafunzi Mass Choir chini ya Casfeta Mzumbe.

Kwaya ya wanachuo

Upendo Nkone akimtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji

Wanachuo wakimsikiliza mtumishi wa Mungu

Albamu zikiombewa na Mchungaji Onesmo Ndegi

Kitu nyomi kwa utukufu wa Mungu

Mchungaji Onesmo Ndegi

Ujumbe wa Mungu ukiwafikia wanachuo

Mchungaji Onesmo Ndegi akihakikisha Neno la Mungu linawafikia watu wa Mungu

Comments