RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UNAMFAHAMU JACKSON BENTY?

Jackson Benty mbali na kuwa producer wa music pia ni mtalaam sana na maswala ya utalii kwani hiyo ndio proffesional yake. jackson anapenda sana kuwa Tour Guide katika maisha yake.

Kwasasa Jackson Benti yuko katika maandalizi ya albamu yake ya tatu ambayo itatoka audio pamoja na video. Kampuni ambayo atafanya nayo kazi inajulikana kama Um Production.


Mr & Mrs Jackson Benty wakiwa na mtoto wao Joshua wakiwa katika hoteli ya Lush Garden Arusha.

Kicheko kimetawala kwa mtoto, mama na Baba

Tabasamu leo ni ishara tosha ya upendo katika familia yao

MUNGU AWABARIKI WANA NDOA HAO

Comments