RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AMABAYE NI MCHESHI, ORIDA NJOLE AMESHAMALIZA SHOOTING YA WIMBO WAKE MMOJA

Orida Njole ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania,mbali na wimbaji pia ni mwanamichezo mzuri sana, amekuwa akichezea timu mbalimbali hapa Tanzania. Kikubwa zaidi anapenda sana ucheshi palemnapokuwa katika mazungumzo ya kawaida.

Kwa sasa ameshamaliza shooting ya wimbo wake mmoja na kazi nzima amefanyia mkoani kwake Iringa. Alisema, kazi yake si muda mrefu mtaisikia na kuona katika Television mbalimbali. Aliwashukuru wale wote waliokumbuka kumuombea katika zoezi zima la kumaliza shooting yake.

CD Audio zinapatikana, na kama ungependa kuzipata wasiliana naye kwa simu namba +255 718 939396. Pia kwa uweza wa Mungu alisema kwa sasa yuko tayari kufanya huduma mahali popote pale ili kuujenga mwili wa Kristo.
Orida Njole

Comments

Anonymous said…
Natoa pongezi kwa mtumishi wa Mungu Bi. Orida Njole kwa kujitoa kwake kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Namtakia kila lililojema katika safari yake hii ya huduma kupitia uimbaji.

Nyahende Thomas.
Unknown said…
hello! ujambo mdada hongera kwa kumaliza kurekodi shoting yako ubarikiwe na yesu awe mbele yako!