RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VUNJA UKIMYA NA JESSICA HONORE TAREHE 24

Siku ya tarehe 24 mwezi huu wa tatu mwimbaji maarufu wa muziki wa injili nchini Tanzania Jessica Honore atafanya uzinduzi wa album yake ya kwanza inayojulikana kwa jina la NIMEZIMA UKIMYA katika kanisa la CCC Upanga kwa kiingilio cha tsh 15000/=

Mwimbaji huyo atasindikizwa na waimbaji kama vile Vocapela,James Honore,Mirium Mauki,Doxas,Upendo kilahiro,Glorious Worship Team,RTM Band na wengine wengi

Tiketi za tamsha hilo zinapatikana Praise Power Radio na katika kanisa la Word Alive Centre Sinza Mori au unaweza kupiga simu namba hizi 0718 807278 na 0712 332007

Comments