Jana ilikuwa ni balaa katika kanisa la WordAlive ambako mwimbaji huu hupata chakula cha Roho pamoja na mume wake mtarajiwa Boniphace Magupa wa Television ya Channel 10. Watu kibao walifika mahali pale kumuunga mkono dada huyu mrembo aliyeamua kuvunja ukimwi wa kuitwa Single. Kulikuwa na waimbaji kama Glorious Worship Team, Martha Mwaipaja, David Robert na wengine wengi.
Jessica Honore aliweza kutoa zawadi yake kwa kuimba jukwani LIVE .
SASA TUPA JICHO LAKO HAPO CHINI.
KUNA BAADHI YA PICHA ZINAKUJA -STAY TUNE

Jessica Honore aliweza kutoa zawadi yake kwa kuimba jukwani LIVE .
SASA TUPA JICHO LAKO HAPO CHINI.
KUNA BAADHI YA PICHA ZINAKUJA -STAY TUNE

Kushoto ni Jessica Honore akiwa na matroni wake


Unafikiri MC Pilipili anafanya nini?

Cheaziiiiiii

Wazazi wa Jessica Honore full kicheko

Cheeeeeaaaziiiiiii!!!
Selebuka selebuka
Leo!!!!
PICHA ZINGINE ZINAKUJIA MUDA SI MREFU
PICHA ZINGINE ZINAKUJIA MUDA SI MREFU
Comments