RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

POLE SANA DADA YANGU MWINJILISTI SARAH MVUNGI KWA KUSUMBULIWA NA MALARIA TMJ


Mungu ni mwema..na haya ni mapitio unapitia..Mungu anajua huduma yako unafanya kwaajili ya utukufu wake...Mungu huyuhuyu ndiye aliyekuumba...Mungu anakupenda..Unachotakiwa usifikirie mabaya...Zidi kuwa naye daima kwa wakati huu mgumu unapitia....Mimi ninakuombea dada yangu.

Comments