RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

SIKILIZA MAHOJIANO NA M2 THE P BAADA YA KUHAMISHWA KUTOKA ICU NA KUPELEKWA WODI YA WAGONJWA WA KAWAIDA


Leo hii, Millard ameingia wodi aliyolazwa M2thep na kuongea nae, ambapo amesema anajiskia vizuri lakini kifua ndio kinamuuma na kichwa ila anadhani akiendelea kunywa dawa siku mbili tatu atakuwa katika hali nzuri.
kati mazungumzo hayo, M2theP pia alimuulizia Ngwea, ambapo walimjibu ameshatangulia Tanzania.

Comments