Akiwa safarini kuja barani Afrika kwa ziara ya kikazi, rais wa Marekani Barack Obama alipiga simu akiwa angani kwenye ndege yake ya Air Force One kwa mawakili na watetezi waliokuwa wakipigania haki ya ndoa za jinsia moja kuwapongeza, ambapo video hii iliyotolewa kwenye tovuti ya shirika la utangazaji la Uingereza, BBC, inaonyesha dhahiri mtizamo wa Obama kuhusiana na suala hilo.
katika maneno yake, Obama anasikika akiwapongeza kwa kufikia hatua hii nzuri ya kihistoria kwenye taifa la Marekani, na kisha kuwatakia sherehe njema watu hao.
Thanks GK
Video Click: http://gospelkitaa.blogspot.com/2013/06/obama-apiga-simu-kupongeza-ndoa-za.html
Comments