RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DVD YA UBATIZO ULIOFANYIKA KATIKA KANISA LA YESU KRISTO LA HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI KWA NABII FLORA ZINAPATIKAN

Katika DVD hii utapa kusikia ujumbe unahusu UBATIZO uliohubiriwa na Nabii Flora Peter siku ya tarehe 20.07.2013 na pia utapata kuona jinsi Nabii Flora akiwabatiza waumini wa kanisa lake siku ya tarehe 22.07.2013.

Unaweza kuwasiliana na Octavian kwa simu +255 716310661 au tembelea www.nabiiflora.blogspot.com
Unaweza kufika katika kanisa hili lililoko Mbezi Salasala, shuka kituo cha Mbezi Mbuyuni na uliza kanisa la Nabii Flora watakuonyesha. Kama hujui Mbezi Salasala, ukiwa Mwenge panda magari ya Tegeta na shuka katika kituo ulichoelekezwa

DVD hizi zimetengenezwa na RUMAFRICA (shooting, Editing na Cover Design)
Wasiliana nasi kwa simu +255 715 851523 au tembelea www.rumaafricajobs.blogspot.com au www.rumaafrica.blogspot.com







Comments