RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUNGU ANAZIDI KUINUA RUMAFRICA

Tunamshukuru Mungu wetu kwa matendo makuu anafanya katika ofisi ys Rumafrica. Mungu ametushangaza kwa kutusaidia vyombo kwaajili ya shooting. Mungu tunashindwa cha kusema zaidi ya kusema asante na tunakuahidi kuwa tutaendelea kufanya kazi yako wakati wote na mahali popote. Tunakushukuru sana kwa kutuwezesha kuwa katika watu wanaofanya shooting dunia na sisi tumo. Mungu huu kwetu ni muujiza mkubwa sana.

Asante Bwana Yesu kwa kutubariki. 

  Mkurugenzi wa Rumafrica, Rulea Sanga



Comments