RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MKURUGENZI WA RUMAFRICA, RULEA SANGA ANATOA POLE KWA WATANZANIA KWA KUPOTELEWA NA MTUMISHI WA MUNGU ASKOFU MOSES KULOLA

Nimepokea taarifa za msiba kwa masikitiko makubwa sana kwa kuondokewa na mtumishi wa Mungu Askofu Moses Kulola. Binafsi imani yangu ya kumwamini Mungu imeongezeka ni kutokana na mchango mkubwa wa Askofu Moses Kulola katika mafundisho yake niliyowahi kuyasikia. Nimekuwa nikihudhuria baadhi ya mikutano yake aliyoweza kufanya hapa jijini Dar es Salaam. Askofu Moses Kulola amekuwa akihubirii sana kuhusu haba ri za siku za mwisho, yaani baada ya kifo nini kinafuata kwa mtenda mema na mtenda maovu

Askofu Moses Kulola amefanya kazi ya Mungu tokea ujana wake na mpaka uzee wake.

Mungu mpokee mtumishi wako..Amina

Mkurugenzi wa Rumafrica, Rulea Sanga

Comments