RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHRISTINA SHUSHO ATUMIA MILLIONI 4 KUTENGENEZA VIDEO MOJA, IANGALIE HAPA NA MSIKILIZE AKIELEZA SABABU ZA KUTUMIA GHARAMA HIYO

Habari inatoka katika blogu ya Uncle Jimmy

.
Blogger Ambwene Michael na Christina Shusho.

Kilio changu kila siku waimbaji wa muziki wa injili wabadili uelekeo wao hasa katika kutengeneza video zenye ubora mzuri.Leo nikipiga story na Christina Shusho kupitia Chomoza ya Clouds Tv amefunguka na kueleza wazi gharama ya utengenezaji wa video yake "Nataka nimjue" ametumia milioni 4 hadi kukamilika.Video hii imetengenezwa na kampuni kubwa nchini Kenya (Link Video Global) chini ya director wa mkubwa J Blessing.Msikilize Christina Shusho akizungumza na mimi na tazama video hiyo.Muziki wa injili nao unahitaji ubora kuanzia utunzi,production ya audio na video kwasababu ndiyo itakayokutangaza kimataifa

Mama na kati ya Tabata, Christina Shusho.

Comments