RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RULEA SANGA APATA AJALI SIKU YA JUMAPILI AKITOKEA KANISANI

Ninamshukuru sana Mungu kwa kuniokoa na ajali mbaya niliyoipata jana nikitokea kanisani katika ibada. Nikiwa katika speed kali sana tairi la gari langu liliweza ku-burst na kusababisha mlio mkali sana. Niliposikia mlio huo Mungu alinipa ujasiri sikuweza ku-panic kabisa, nilichosema ni kwamba, "Asante Mungu"

Ndani ya gari nilikuwa na mwimbaji wa nyimbo za injili Apostle Gideon Mutalemwa ambaye aliomba rift ili awahi mkutano uliokuwa ukiendelea Makongo Juu hapa jijini DSM, na pia niliongozana na rafiki yangu Neema.

Mpaka sasa ninamshukuru Mungu gari langu limepona na aliniwezesha kupata wasamalia wema ambao walinisaidia kubadilisha tairi.

NINASEMA ASANTE MUNGU KWA KUULINDA UHAI WANGU



Comments