Tumesikia
nyimbo nyingi za injili duniani lakini hii ni kiboko. mtumishi victor
amehakikisha kile kilio cha walio wengi juu ya kumtukuza Mungu kwa njia
ya uimbaji kinafutwa kwa kuisikiliza nyimbo nane ndani ya albamu hii.
Jipatie copy yako sasa...!!!
Comments