RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ILE DVD YA MIRACLE CRUSADE - MKUTANO WA INJILI KUPATIKA SASA KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE

Mbali na Neno la Mungu pia utapata kusikia nyimbo kutoka kwa waimbaji kama vile: Kenyatta, Miriamu Lukindo, Neema Jekonian, Neema Mwaipopo, Kwaya ya kanisa la RGC Tabata Chang'ombe, Samweli Lusekelo na Leah Amosi

DVD Cover limetengezwa na Rumafrica +255 715 851523


Comments