RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HATIMAYE ASKOFU PIUS ERASTO IKONGO AKUBALI KUSHUKA NA KUWA MHUBIRI WA KANISA LA EAGT TANZANIA

Kitendo cha kushuka na kukubali kimewashangaza watu wengi kwani nafasi aliyokuwa nayo kama Askofu ni nafasi kubwa sana katika ngazi za kumtumikia Mungu. Watu wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kuwa imekuwaje leo hii Askofu Ikongo kukubali kushuka na kuwa mhubiri tu ndani ya kanisa la EAGT Tanzania.

Rumafrica itazidi kukujulisha mengi juu ya mkasa huu ambao umekuwa gumzo kwa wakristo wengi hapa Tanzania.
Unaweza kuwasiliana na Mhubiri Profesa Ikongo kwa namba ya simu +255 752 558069

Mhubiri Profesa ErastoIkongo

Comments