RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

KANISA LA YESU KRISTO LA HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI LA NABII FLORA LINAHITAJI WAIMBAJI

Haijalishi wewe una sauti nzuri au mbaya kiasi gani, mbele za Mungu sauti zote ni bora kwani ndiye aliyekuumba. Kwahiyo anahitaji kukuona wewe ukimwimbia bila ya hofu yoyote au kuogopa kuchekwa na mtu yeyote yule. Kanisa hili limeona kufungua milango kwako wewe unayetamani kumwimbia Mungu.

Ukitaka kufika, panda magari ya Tegeta, shuka kituo cha Mbezi Mbuyuni na ukifika hapo uliza kanisa la Nabii Flora. Sio mbali sana kutooka katika kituo hicho. Unaweza kutembea kwa muda wa dakika kama 5 hivi utakuwa umefika.

Tangazo limetengezwa na Rumafrica +255 715851523

Comments