RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JAJI MKUU MSTAAFU TANZANIA AWA KASISI WA KANISA ANGLIKANA

 
Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Augustino Ramadhani akitoa mkate kwa waumini wa Kanisa la Anglikana baada ya kupewa Daraja la Ukasisi katika Kanisa la Anglikana lililopo Mkunazini mjini Zanziabar jana,pamoja na mambo mengine Jaji Augustino amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar na Tanzania, Brigedia Jenerali wa JWTZ pia amewahi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na Mahakama ya Afrika Mashariki. Picha na Sahim Shao

Comments