SASA NI KUFICHA VITU VYAKO KWA YESU...JOHN KOMANYA ANAKUKARIBISHA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI NA SEMINA YENYE UPAKO WA KIPEKEE

Ni wakati mwingine Apostle John Komanya na Apostle Dale Usey Na Ev.James Samweli pamoja na watenda kazi wake watua handeni-tanga viwanja vya Chanika Shule . Njooni wote wakazi wa tanga na wenye mguso wa kutenda kazi ya MUNGU. Tuanze mwaka na BWANA. Tutaficha vitu vyetu kwa Bwana kuwafungua walio fungwa na mapepo.Mkutano utaanza tarehe 2/hadi5/1/2014.
Tunawakaribisha
Comments