
Uongozi wa ATN wanakuletea Semina kubwa ya Neno la Mungu itakayoanza January 1 - 4 kila siku jioni ikiambatana na mkesha mkubwa utakaofanyika siku ya ijumaa ya tarehe 3 kuanzia saa 3 usiku. Waimbaji mbalimbali watasifu, watumishi mbalimbali watahubiri na kufanya maombi maalum kwa kila mtu. Hakuna kiingilio na watu wote mnakaribishwa.
Comments