RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

WAZEE WA WAKAWAKA-GLORIUS CELEBRATION WAFUNIKA JIJINI MBEYA

Usiku wa kuamkia leo kundi la Glorious Celebration ama waite "Wakawaka" kutoka jijini Dar es salaam, limefanya tamasha kubwa la kusifu na kuabudu katika ukumbi wa Mkapa Hall uliopo jijini Mbeya wakisindikizwa na Shekinah Glory Band. Hizi ni baadhi ya picha kama zilivyopigwa na John Kuyokwa.
















Source: Gospel Kitaa
Links: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/12/mambo-ya-glorious-celebration-wakawaka.html#more

Comments