RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

WAZIRI MKUU MH. PINDA AHUDHULIA JUBILEE YA KANISA LA KATOLIKI JIJINI ARUSHA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki baada ya Ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya Kanisa Kuu la jimbo la Arusha iliyofanyika mjini Arusha jana Desemba 30,2013.

Katika Jubilei hiyo ya miaka 50 ya Kanisa Kuu la jimbo la Arusha viongozi mbalimbali walikuwepo kuhudhilia akiwemo Waziri Mkuu Msaafu Edward Lowasa
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments