Mess Jacob Chengula anayemtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji jumapili hii atakuwa katika nyumba ya Mungu Mlima wa Moto Mikocheni akimtumikia. Mungu. Wewe rafiki yangu na ndugu yangu usikose baraka hizi za kipekee kupitia uimbaji wa mtumishi huyu wa Mungu. Utabarikiwa na utarudi nyumbani ukisema hakika ni Ebeneza.

Mess Jacob Chengula kulia akiwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano Mh. Januari Makamba
Nikutakia Jumapili njema yenye mafanikio na baraka..Tumuombee mtumishi huyu wa Mungu azidi kumtumikia Mungu kwa karama hii aliyozawadiwa na Mungu..

Comments