RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PETRO MWAMPASHI AACHIA ALBAMU YAKE MPYA INAYOITWA "SUBIRI NA BWANA"

Petro Mwampashi amekuletea zawadi yenye upako wa ajabu. Mwimbaji huu anamtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji sasa ameaachia albamu yake ya "SUBIRI NA BWANA". Huu ni muda wako wa kumuunga mkono mtumishi wa Mungu huyu kwa kununua CD zake. Utabarikiwa sana usikiapo nyimbo zake. Hakika Mungu ana watu wake wa kumtumikia.
 Petro Mwampashi
Petro Mwampashi

Comments