Tumekuwa serious sana na kupambana na ulimwengu huu kwa kutafuta mavumba
(pesa) na kuhakikisha njaa haitawali ndani ya nyumba zetu. Lakini kuna
muda wa kusahau shida na kujiburudisha kwa njia mbalimbali. Si unajua
ukiwa serious sana unazeeka mapema, ila ukiwa mtu wa furaha muda wote,
mwili wako na uso wako unakuwa kama wa mtoto mdogo. Jiachie mtu wa Mungu
hata kama unapitia magumu, jichanganye na watu watakusaidia kimawazo na kupotezea yale unapitia.
Usiwe mtu wa kujifungia na kufanya mambo peke yako, washirikishe jamaa
zako na ndugu zako ili wakusaidie kupanua mawazo yako, na mwisho wa siku
LIVE linaenda sawa...
Rulea Sanga akisoma news ndani ya Rumafrica
Acha kuwa mtu wa kunung'unika nung'unika kila wakati. Haya ni yangu kama
yanakufaa basi yafanyie kazi na kama hayakufai tupa kwenye kapu na
endelea na yako. Mtumainie Mungu kwa kila jambo, Hebu angali hawa
watumishi wa Mungu wanavyofanya yao wakiburudisha mioyo yao...

Kulia ni mwimbaji wa nyimbo Flora Mbasha
Duhuuuu...!!! nilisahau jambo la muhimu kwako, jamani tuache kutenda dhambi, Mungu wetu hapendi hata kidogo, tuache kumpa Mungu wetu wa mbinguni stress zisizo za maana. Mungu wetu ana mambo mengi ya kufanya kwa kila kiumbe hapa duniani, ukimzingua na yeye anakuzingua na utaona mambo yako hayaendi. Unaweza kusema Rulea anasema nini...??? ila mimi ninakupa fact mtu wangu...Acha kumfanya Mungu kama mdogo wako, mwache Mungu wetu afurahie viumbe vyake alivyoviumba hapa duniani...Wewe kama una stress ziwe zako na usizihamishie kwa wengine.
kulia ni Rulea Sanga wa Rumafrica na mwigizaji Nyamayo ndani ya The Atriums Sinza

Rulea Sanga na Nyamayao
Sura yako iwe ya kutabasamu kila wakati, fanya watu wakushangae wanapokuwa unafuraha hata kama unapitia magumu. Nampenda sana Rais Kikwete wa bongo, yeye muda wote ni shangwe, kama unamfuatilia muangalie anapowasalimia wafiwa, sura yake ni ya furaha. Kwa upuuzi wangu najifunza mengi kutoka kwake. Rais anatambua ya kwamba kila mtu hapa duniani atazikwa tu..kwahiyo there is no need ya kuwaza sana juu ya alikufa.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Neema Gasper.
Vituko vyako vyaweza kuwaburudisha na wengine, na unavyofanya vituko unamuokoa yule anayeangalia vituko vyako. Unamfanya aburudike na aongeze siku zake za kuishi. Vituko vyako visizidi sana mpaka ikafika sehemu unasahau mipaka ya Mungu wako.

Bloger na Graphic Designer, Rulea Sanga ndani ya ofisi ya Rumafrica Sinza Afrikasana akipiga chapati na chai ya rangi taratibu

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, Nyuki

Mwimbaji wa nyimbo za Injili katika kundi la Glorious Worship Team Tanzania miss Nice

POA NICHEKI SIKU NYINGINE
Wenu katika Bwana Rulea Sanga

Comments