RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DAVID ROBERT NA MZEE MZIMA SHAKA SSALI NDANI YA WASHINTON

David Robert ni mwimbaji wa kitambo sana wa nyimbo za Injili Tanzania na ni mtumishi mkali sana katika maswali ya matangazo ya sauti. Mungu amempa kibali cha kukutana na watu maarufu sana nchini Marekani kama ulivyokuwa ukiona kupitia blogu yako hii. Kipindi hiki alikuwa na Shaka Ssali anayetamba na slogan yake ya "The king without a kingdom all the way from Washington"
 Kulia ni David Robert akiwa na Shaka Ssali
Kulia ni Shaka Ssali

Comments