KALENDA ZA TAMASHA LA UPENDO LA ROSE MUHANDO ZITAPATIKANA SIKU YA TAMASHA KATIKA KANISA LA BAPTIST MAGOMENI
Zile kalenda za tamasha la Rose Muhando la kuwasaidia watoto yatima katika kituo cha HOCET Kimara zitapatika siku ya Jumapili hii katika ukumbi wa kanisa la Baptist Magomeni ambapo waimbaji mbalimbali watamuunga mkono Rose Muhando kwa moyo aliouonyesha kuwasaidia yatima. Hakutakuwa na kiingilio chochote, watu wote mnakaribishwa.


Comments