RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MESS JACOB CHENGULA NDANI YA TAMASHA LA HIP HIOP

Hapa sina comment ila nimependa ushirikiano wa wanamuziki hawa kwa kushirikiana katika kazi ya Mungu. Huu ni mfano mzuri kuona mtu anaacha kazoi zake na kwenda kumuunga mkono mwenzake. Inaleta raha ndani ya mtima, hongera sana Mess Jacob Chengula kwa kuwatia moyo waimbaji wenzako. Mungu akubariki sana na endelea na moyo huo na Mungu atazidi kukuinua. Ubarikiwe sana


Mess akiwa na Rungu la Yesu saizi mlima wa BWANA kwenya tamasha la gospel hiphop

Wako katika Bwana
Rulea Sanga

Comments