RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JULIETH DOUGRAS AMBAYE DEREVA DALADALA ALIMSADIA NA KUJUA KIPAJI CHAKE CHA UIMBAJI SASA KUZINDUA ALBAMU YAKE YA U MTAKATIFU SIKU YA JUMAPILI 01.06.2014

Julieth Dougras ambaye amepitia mapito mengi sana katika maisha yake, na kubwa sana ni lile la kufanyiwa oparesheni ya tumbo lake lilokuwa na uvimbe. Akiwa katika maumivu makali aliweza kutunga nyimbo akiwa kitandani. Dada huyu ambaye anamshukuru sana Mungu kwa kuweza kumtumia dereva daladala ambaye alimtia moyo na kumwambia, hakika Julieth Una kitu ndani yako na ni mwimbaji. Maneno haya aliyachukua na kuyafanyia kazi.

Julieth Dougras anashuhuda nyingi sana ambazo utasikia katika clip yake hapo chini.


SOMA TANGAZO HILI LA UZINDUZI


Comments